Description
- Mfumo wa "NSSF TAARIFA" ni mahususi kwa mwanachama, mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake. Kupitia Mfumo huu utawawezesha mwanachana kufanya mambo yafuatayo: a) Kuangalia taarifa za usajili wake ‘Member Profile’ (taarifa binafsi). b) Kuangalia taarifa za michango yote iliyowasilishwa na kampuni yake katika Shirika au michango iliyowasilishwa na mwanachama kwa wanachana hiari. c) kupata taarifa za michango (Statements)
Available Platform
- Download for android Download for ios ( 323380 )