Description
- Ajira Portal Mobile App ni programu inayowezesha Watanzania wenye sifa ya kuomba nafasi za kazi zilizo wazi kwenye Utumishi wa Umma. Watumiaji wa programu hii wataweza pia kupata taarifa muhimu kuhusu nafasi za kazi pamoja na mchakato mzima wa Ajira.
Available Platform
- Download for android ( 170099 )