Description
- Haki App ni Mfumo unaomsaidia mwananchi kuwasilisha lalamiko mbele ya Tume. Pia mfumo huu unamsaidia mwananchi kupata mrejesho kuhusu lalamiko alilowasilisha mbele ya Tume kupitia tovuti, msimbo wa ussd na application ya simu janja.
Available Platform
- Download for android ( 169567 )